Marekani ilijibu janga hilo kupitia oparesheni iliyoitwa ‘vita dhidi ya ugaidi’ – iliyojumuisha uvamizi wa nchi mbili na kusabisha vifo zaidi.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa asubuhi hiyo iliyobadilisha Marekani na ulimwengu.
Shambulio la 9/11: Dakika 102 zilizobadilisha Marekani na ulimwengu
September 11, 2021
0
Mnamo Septemba 11 mwaka 2001 Marekani ilishambuliwa.
Mtandao wenye msimamo mkali wa Kiislamu, al-Qaeda, uliteka nyara ndege nne na kuzitumia kama makombora dhidi ya maeneo maalumu ya Marekani.
Karibu watu 3,000 waliuawa.
Tags